كلمات Nimeridhia (feat. Dom Mwangemi)
Ahhhhhhh daaah
Tulianza kama mchezo
Mtoto kaganda kama hamissa mobeto
Nikampeleka mageto
Fanya mautundu sasa kageuka mental
Anasema ameridhia
Hana pupa kwangu ametulia
Pia Mimi nimeridhia
Sina pupa kwake nimetulia
Baby I love, forever mi nataka kua nawe
Baby I need you, I love you, I need you (X2)
Ahhhhhhh
Ukicheka ntacheka nawe
Ntacheka nawe, ntacheka nawe
Ukinuna ntanuna nawe
Ntanuna nawe, ntanuna nawe
Ukicheza ntacheza nawe
Ntacheza nawe, ntacheza nawe
Ukiimba ntaimba nawe
Ntaimba nawe, ntaimba nawe
Ushanifa niwe craze
Sijielewi Kwa wengine Niko bizee
Nasaka deal za mapesa
Tusijepata dhiki tufe na mapresha
Popote tutapiga misele
Unachotaka utapata haina kwere
Kwa shangwe tena vigelegele
Harusi yetu tutafunga waone gere
Uhh Uhh
Baby I love, forever mi nataka kua nawe
Baby I need you, I love you, I need you (X2)
Ahhhhhhh
Ukicheka ntacheka nawe
Ntacheka nawe, ntacheka nawe
Ukinuna ntanuna nawe
Ntanuna nawe, ntanuna nawe
Ukicheza ntacheza nawe
Ntacheza nawe, ntacheza nawe
Ukiimba ntaimba nawe
Ntaimba nawe, ntaimba nawe
Kwanza kiuno bamba taa
Unaniachaga Kwa mataa
Ukizungusha zungusha unanipaga rahaa
Yeah
He said he like how I look yah
And he like how I cook yah
Every little thing I do got him hook yah
Ever little thing I do got him Shoke yah
We were meant to be was end in the booth
But nicely to west mwenzenu napiga tizi
Body him going crazy Yani kama kachizi
Wenye wivu msichoke hata panga twawamezesha
Baby I love, forever mi nataka kua nawe
Baby I need you, I love you, I need you (X2)
Ahhhhhhh
Ukicheka ntacheka nawe
Ntacheka nawe, ntacheka nawe
Ukinuna ntanuna nawe
Ntanuna nawe, ntanuna nawe
Ukicheza ntacheza nawe
Ntacheza nawe, ntacheza nawe
Ukiimba ntaimba nawe
Ntaimba nawe, ntaimba nawe