كلمات Mokili (feat. big ebat)
mokili oyo mabe
mokili oyo mabe
nakende na gauche kaka mabe
nakende na droite kaka mabe
na tourner le monde kaka mabe
ngai nazui masiya ti na liwa
duniya mashimango
na kila jambo
kupendwa kwepesi
kuachwa matusi na kila jambo
kushoto moto
kulia majuto
maisha mateso
natoa jasho nileye watoto shukran sipati
nawinda ma boss, na tafuta manoti nipate chapati
jioni narudi na daiwa kodi na demu anishiti
mokili oyo mabe
mokili oyo mabe
nakende na gauche kaka mabe
nakende na droite kaka mabe
na tourner le monde kaka mabe
ngai nazui masiya ti na liwa
Tabu zangu ziki kwisha mungu uta nifuraisha
walio nisema kwa mabaya washangae ume badilisha
walio kesha kwa waganga
mitego wamesha tega mpaka big waniangushe
baba mwenye huruma na kuitaji uni teteye
maombi yangu una isikiza please baba nikubaliye
waambiye waesabu mema mabaya wayasahau
na kuamnini we ni daddy huwezi itika ata waniguse
ehe big!
mabee
liwaa
mabee
ngai nazui masiya tii na liwaaaa